UTARATIBU WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

0
Uandikishaji Wapiga Kura
Wananchi wote wenye sifa watakapofika kituoni kuandikishwa kwa mara ya kwanza atajaza Fomu Na.1 ambayo ni ya ombi la kuomba kuandikishwa kuwa Mpiga Kura zitachukuliwa taarifa zake kwenye fomu na kuingizwa kwenye BVR-Kit na kisha atapewa kadi ya Mpiga Kura.
Share.

About Author

Comments are closed.